FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

espanyol tunakula nyama yetu bila tabu wana majeruhi kuna wachezaji wao 3 leo hawatakuwepo na ndio mashine zao
 
nipoo week end ikoje usikose saa 11 leo kwa europ ni 16:00

Weekend iko pouwa, dah! Mechi ya leo nahisi nitaikosa kuicheki live maana muda huo ntakuwa kazini lakin ntajitahid niichek online lakini jukwaani hapa ntakuwepo hivyo updates zako zitahitajika sana sana
 
ucijali tuko pamoja
 
Wachezaji wa espanyol barcelona wanacheza rafu sana ila refa anapeta jordi alba inaonekana alitoa maneno ya ujeuri dhidi ya refaree alipewa njano na baadae kapewa red card direct bao ni 2 bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…