Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa kileo wanasema 'nimeishiwa pozi'.
Nimewasha pump nasubiri tank lijae, likijaa tuu napanda kitandani. Yaani hawa Atletico hawaaaaa, pumbavu sana hawa.
ALEYN sio 4 kwa gem ile ya real waliocheza tungaliwapata hata mkono kama ile ya 2010Madrid hii yenye majeruhi tungeipata sisi tungeilaza hata 4 pale pale kwao Bernabeu.
ALEYN sio 4 kwa gem ile ya real waliocheza tungaliwapata hata mkono kama ile ya 2010
-hahahahahahahaha ile Game kumbw unaikumbuka!!??
-Kuna mwanaume mmoja alkuwa anaitwa David Villa, alinikosha sana ktk umaliziaji kwenye ile Game.
-Mourinho mdomo ulimuisha.
MKUU HAPO NDIO UNATUCHEKA U VIPI :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Barcelona mmepata timu nyepesi kwelikweli.
hivi Europa ligue imekuwaje, kina Napoli na fiorentina
Barcelona mmepata timu nyepesi kwelikweli.
ALEYN tupo pamoja mwambie ever asitie wasiwasi ale ashibe asubiri tarehe 5/05 aje aone tunavyo mpiga mtu-Bayern hawataweza kutupiga kama misimu miwili iliyopita walivyotufanya.
-Tunapaswa kuwa na matokeo mazuri zaidi ili kujilinda huko kwao.
-Na safari hii tunawang'oa
1. Timu haina majeruhi kama kipindi cha nyuma, na ikitokea majeruhi basi wanaoziba nafasi wapo. kipindi kile Messi alikuwa majeruhi japokuwa alilazimishwa kucheza, Beki pia zilikuwa majeruhi na Xavi ndo alianza kuchoka. Msimu huu tupo fiti.
2. Bayern ipo chini ya Pep Guardiola, Guardiola hana mbinu za kumchapa Barca pia Guardiola huwa ni kugeugeu sana ktk mifumo yake, Game yao majuzi tu hapa amebadili mfumo na timu ikawa inacheza kama ilivyokuwa chini ya Heynkess.
3. Munich wana majeruhi mengi, Porto wajinga sana kama Atletico Madrid, pamoja kuwa na majeruhi mengi kwa Real Madrid wakashindwa kuwatoa, ndivyo hivyo hata kwa Porto tena bora ya Porto walipata ushindi kwao ila kwenda German wakapata wenge. Sasa FC Barcelona haitafanya makosa ya kuwachekea hawa Bayern. Ribery, Robben, Bastian n.k wote hawa ni majeruhi ila wataingiingizwa ili kuleta ushindani tuu na kwa uzoefu, na kama mnavyojua mchezaji ambae umri umeenda kisha akawa majeruhi na akarudi uwanjani jinsi anavyokuwa.
4. Hapa atajaza chebi
5. Kipenzi everlenk harafu nimekumiss sanaaaaa!!!
6. MO11
7. Anyone