everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Mnachokitaka mtakipata
Hahahaha!! Japokuwa bibi umekula chumvi nyingi lakini wacha vijana tutimize malengo........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnachokitaka mtakipata
Mnachokitaka mtakipata
Kwa sababu ni daddy wangu ngoja niitikie oleeeeeeeeeeeeeeee ila wakifungwa mimi simoo!!!
Fans wote wa Barca tunataka tukutane na nyie, huoni kama mna kila dalili ya kuaga mashindano?
Mmejitahidi mpaka hapa mlipofikia.
Ndio uache kula vibandani, teh teh teh
Shaka ondoeni, naona magiants wote wa La Liga mnaitaka Juventus kwa sababu ya hofu yenu ya Mkoloni maana mara ya mwisho waliwapiga ngapi vile 7 au 8 on aggregate?
Naona fainali itakua kati ya Juventus na Bayern, maana nyie mshaingiwa na hofu
#ForzaJuve #FinoAllaFine
Ndio uache kula vibandani, teh teh teh
Shaka ondoeni, naona magiants wote wa La Liga mnaitaka Juventus kwa sababu ya hofu yenu ya Mkoloni maana mara ya mwisho waliwapiga ngapi vile 7 au 8 on aggregate?
Naona fainali itakua kati ya Juventus na Bayern, maana nyie mshaingiwa na hofu
#ForzaJuve #FinoAllaFine
Kumbe anakulaga vibandani ehhh?? Naenda kumsemea kwa mumy.....
Eeeh huwa anafuata uduvi, pweza, mishkaki, juice ya ukwaju na nanii, ndio maana alikutana na roba za mbao huko, na hajakoma!
Kaka vipi kaka, embu tulia.
Eeeh huwa anafuata uduvi, pweza, mishkaki, juice ya ukwaju na nanii, ndio maana alikutana na roba za mbao huko, na hajakoma!
Aiseee!!! Kumbe, sasa naanza kuunganisha dot ikikamilika nitakujuza......
Dota, usivuke mipaka. Ukofatilia sana utakosa heshima kwa mzazi wako. Achana na hayo mambo.
wee muache tu ajifurahishe akili yake mwambie barca hii sio ile ya bayern aliokuja kutupiga nje ndani pale timu ilikua na matatizo kocha alikimbia na mazoea kama unavyo yajua 2 majuruhi tulikua nao 3 kipindi kile alikua ni messi tu ndo anategemewa lazima afunge yeye saivi mziki uliopo achana na siongei sana subiri draw itoke halafu tuje kurudi hapa na ningeomba tuwapate hata madrid vibonde wetu-Nikishakula home huwa napenda kuongeza kula vitu kama kachori, mishkaki, n.k Turudi kwenye mada.
-Mkoloni alitubahatisha goli 7 sababu ya Majeruhi pia ilikuwa ni kipindi ambacho timu ilikuwa imechoka sana.
-Mpaka sasa hatuna majeruhi na tumekamilika na Iniesta karudi ktk fomu kama unavyomuona, kule mbele mimi sitaki kuongea labda everlenk na chebi waongee.
Daddy kule kuna red AM wamelala......