Man U nadhani ndiyo club bora duniani hivi sasa, sidhani kama hilo lina ubishi.Barca ni timu nzuri lakini hawana kasi ya Man U licha ya kwamba wana vipaji....Ligi Uingereza iko juu this time siyo siri,kwa maana ya kwamba the best in La liga wana uwezekano mkubwa wa kutolewa nishai na the best in EPL.
Natabiri Ronaldo kufunga ama kuonyesha kipaji cha hali ya juu since yeye na Lionnel Messi wanagombea tuzo ya uchezaji bora wa dunia ambapo Ronaldo alimshinda Messi last year na mwaka huu wengi wakitaka Messi ndo apewe,Ronaldo anaweza kumnyang'anya mwenzake tonge mdomoni.
Puyol kurudi kwake kutasaidia beki ya Barca and Hennry will be a factor coming back from injury,wakisaidiana na Samuel Etoo' wanaweza kuleta changamoto dhidi ya kina Rooney na Ronaldo....Game inaonekana itakuwa nzuri,lets wait and c.