FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Trophy + 96 million pound sterlings for WINNER , and 50 million pound sterlings for Loser of today's game. GOOD LUCK
 
Tutakukumbusha hayo maneno baada ya mechi.

Kisale umerudi, maana tulishaanza kupata wasi wasi.....
Mkuu wewe kila kitu ulichotabiri miezi miwili iliyopita hakikutimia.
 
rome-warTOP.jpg

Hii nimeipenda sana maana utabiri wangu naona kama leo kuna red card na vinara wa hii naona kama ni Puyol ama Vidic ila tuombe Mungu
 
nipo makini nasubiri hii kitu, i wish the great team Man United to win.
 
Man U nadhani ndiyo club bora duniani hivi sasa, sidhani kama hilo lina ubishi.Barca ni timu nzuri lakini hawana kasi ya Man U licha ya kwamba wana vipaji....Ligi Uingereza iko juu this time siyo siri,kwa maana ya kwamba the best in La liga wana uwezekano mkubwa wa kutolewa nishai na the best in EPL.
Natabiri Ronaldo kufunga ama kuonyesha kipaji cha hali ya juu since yeye na Lionnel Messi wanagombea tuzo ya uchezaji bora wa dunia ambapo Ronaldo alimshinda Messi last year na mwaka huu wengi wakitaka Messi ndo apewe,Ronaldo anaweza kumnyang'anya mwenzake tonge mdomoni.
Puyol kurudi kwake kutasaidia beki ya Barca and Hennry will be a factor coming back from injury,wakisaidiana na Samuel Etoo' wanaweza kuleta changamoto dhidi ya kina Rooney na Ronaldo....Game inaonekana itakuwa nzuri,lets wait and c.
 
Ni tofauti kidogo!! leo tunausoma muda na saikologia!!!mimi si' mshabiki wa Manchester united!! ila nataka kuonyesha uwezo wangu unao kwenda na wakati!!

Manchester watashinda!!-anauwezo huo unao kwenda na muda- hata mani akisimama bila kucheza!!

1.tayari wameshachukua jukumu kubwa la kidunia kuliko unavyo dhani!!

kisaikolojia wanaingia tayari wamesha shinda! sasa kama itakua tofauti basi nitakua nina jifunza kitu kingine-nitameza matapishi yangu!!

nataka kujua kawanini unapinga hojayangu?

kweli Manchestar atashinda

haya piga kura mshindi ni nani Manchestar au Barcelona?
 
Last edited:
game saa ngapi? saa za east africa mashariki?
 
Rafa Marquez na Gabriel Milito ni majeruhi, wakati huo huo Ferdinand amedeclare kuwa yuko fiti kwa mpambano wa leo. Carrick na Giggs wataanza.
 
Back
Top Bottom