qarem
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 626
- 825
Habari ndo hiyoMessi anatafuta mlango wa kutokea
Nitafurahiii Messi akiondoka barca,ni mchezaji mkubwa sana hawezi kudhalilishwa kiasi kile!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndo hiyoMessi anatafuta mlango wa kutokea
Nitafurahiii Messi akiondoka barca,ni mchezaji mkubwa sana hawezi kudhalilishwa kiasi kile!!!
Kupigwa nane hakuondoi sifa na uwezo wa fc barcelona,Lionel Messi..hata kama zingekua goli kumiBlah blah blah blah blah. Mmepigwa nane.
Haendi kokoteHabari ndo hiyoView attachment 1540097
Kupigwa nane hakuondoi sifa na uwezo wa fc barcelona,Lionel Messi..hata kama zingekua goli kumi
Anasubiri uchaguzi mkuu huyuBatomeo kaondoka?
Ronald Koeman ni wakati wake sasa kutusukia kikosi ...ingekua vizuri tukawazoe wale watoto wa ajax nusu ya timu kwa maana ya mabeki wanne viungo watatu na washambuliaji watatu
Wale madogo wazuri +delight huku watamkuta De Jong pale Messi atakua mtu wa kumalizia tu ..lkn kama tukibaki na akina sergio,na suarez,roberto na akina Lenglet,Shakira tumekwisha!Yaani unataka Ajax ndio iwe Barcelona? Mtafungwa hata na Getafe.
Koeman: "Frenkie De Jong has not been playing at his best position here. With me, he played closer to the defense. We will do the best for him."Wale madogo wazuri +delight huku watamkuta De Jong pale Messi atakua mtu wa kumalizia tu ..lkn kama tukibaki na akina sergio,na suarez,roberto na akina Lenglet,Shakira tumekwisha!
Itapendeza wazamani tubaki na Messi,Puig,Ansu,De Jong,Braithwaite,na Dembele....
Next President mwakan anamleta Xavi ,Koaeman atafukuzwa baada ya huyu anayetarajiwa kuwa raisiKoeman nafikiri kasaini mkataba wa kueleweka, kwasababu hawezi kumaliza miaka miwili hapo, lazima abebeshwe virago
Kaka hii timu unayosema ya madogo wanampiga madrid hata 5. Nakubaliana na wewe, timu ijaze damu changa.Wale madogo wazuri +delight huku watamkuta De Jong pale Messi atakua mtu wa kumalizia tu ..lkn kama tukibaki na akina sergio,na suarez,roberto na akina Lenglet,Shakira tumekwisha!
Itapendeza wazamani tubaki na Messi,Puig,Ansu,De Jong,Braithwaite,na Dembele....
Mimi naamini kabisa shida ya Barca kabla ya makocha na wachezaji ipo kwa huyu Bartomeou, jamaa hajui kabisa kuendesha timu.