Yaani kama uko huko sahau kabisaa mimi kukuita baby.....
Mmmmh majaribu haya.. Roho yangu ni ya Kijerumani tatizo.. ila kidogo nina itikadi za watoto wa Argentina hasa Rosario santa Fe.. kwa Che Guevara, Tevez na ndio maana hata Kiumbe wa ajabu namkubali pia.
karata yangu kwa Wajerumani... mnisamameeehe😎
AMEN kwa herufi kubwa.
Tatizo haka ka mvua bado sijatoka kwa mkoloni... naambiwa kuna foleni balaa. Ntaiwahi hii burudani kweli mimi mtoto wa Mungu? Au ndo mwanzo wa kukesha Pentagon? LOL
Shemeji ni noma nilikuwa namfuata mtu hapo saba saba nimejuta ni shida tumetumia 3hrs tuliza ,hapa tumenasa mwembe yanga lengo tupite short kati ya yombo,hatusogei hatujigusi.... Hata nami naikosa hii mechi ......shemeji pliz usilale nje vyovyote vile ufike home...lol
Suarez atawapelekesha puta hapo kati Messi na Neymar watamaliza kazi-unajua katika wachezaji wa mbele wakali Messi kwa dakika 90 ndio anakimbia less miles sema the moment mpira ukinasa mguuni kwake inakuwa shidah kubwaBarcelona: Ter Stegen; Alves, Pique, Mascherano, Alba,
Rakitic, Iniesta, Busquets; Neymar, Messi, Suarez
Shemeji unadrive huku ukipost JF? Chondechonde sitaki kukukosa... Mi navyopewa habari za wadau walipo, tangu wametoka saa 11, nakata tamaa ya kutoka ofisini niende home. Isingekuwa mvua ningekamata bodaboda..... sasa huoni hii ni sababu nyingine ya kukesha Pentagon??
Hii mechi naona RM wametufanyia hila kama Jangwani walivyotufanyia..... Na uwanja wao saa hizi umegeuka bwawa dadadeki zao.
Mmmmh majaribu haya.. Roho yangu ni ya Kijerumani tatizo.. ila kidogo nina itikadi za watoto wa Argentina hasa Rosario santa Fe.. kwa Che Guevara, Tevez na ndio maana hata Kiumbe wa ajabu namkubali pia.
karata yangu kwa Wajerumani... mnisamameeehe😎
Naona Gourdiola amejaza viungo katikati ....5 of them....