FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yaani kama uko huko sahau kabisaa mimi kukuita baby.....

Mmmmh majaribu haya.. Roho yangu ni ya Kijerumani tatizo.. ila kidogo nina itikadi za watoto wa Argentina hasa Rosario santa Fe.. kwa Che Guevara, Tevez na ndio maana hata Kiumbe wa ajabu namkubali pia.

karata yangu kwa Wajerumani... mnisamameeehe😎
 
Bayern Munich: Neuer; Rafinha, Boateng, Benatia; Lahm,
Alonso, Schweinsteiger, Muller, Thiago; Lewandowski
 
Mmmmh majaribu haya.. Roho yangu ni ya Kijerumani tatizo.. ila kidogo nina itikadi za watoto wa Argentina hasa Rosario santa Fe.. kwa Che Guevara, Tevez na ndio maana hata Kiumbe wa ajabu namkubali pia.

karata yangu kwa Wajerumani... mnisamameeehe😎

hapa kweli Dota everlenk umekosa mtoto. Mwambie atoke haraka kabla sijakasirika babu.
 
Last edited by a moderator:
Barcelona: Ter Stegen; Alves, Pique, Mascherano, Alba,
Rakitic, Iniesta, Busquets; Neymar, Messi, Suarez
 
AMEN kwa herufi kubwa.

Tatizo haka ka mvua bado sijatoka kwa mkoloni... naambiwa kuna foleni balaa. Ntaiwahi hii burudani kweli mimi mtoto wa Mungu? Au ndo mwanzo wa kukesha Pentagon? LOL

Shemeji ni noma nilikuwa namfuata mtu hapo saba saba nimejuta ni shida tumetumia 3hrs tulia kwanza magar yapungue,hapa tumenasa mwembe yanga lengo tupite short kati ya yombo,hatusogei hatujigusi.... Hata nami naikosa hii mechi ......shemeji pliz usilale nje vyovyote vile ufike home...lol
 
Shemeji ni noma nilikuwa namfuata mtu hapo saba saba nimejuta ni shida tumetumia 3hrs tuliza ,hapa tumenasa mwembe yanga lengo tupite short kati ya yombo,hatusogei hatujigusi.... Hata nami naikosa hii mechi ......shemeji pliz usilale nje vyovyote vile ufike home...lol

Shemeji unadrive huku ukipost JF? Chondechonde sitaki kukukosa... Mi navyopewa habari za wadau walipo, tangu wametoka saa 11, nakata tamaa ya kutoka ofisini niende home. Isingekuwa mvua ningekamata bodaboda..... sasa huoni hii ni sababu nyingine ya kukesha Pentagon??

Hii mechi naona RM wametufanyia hila kama Jangwani walivyotufanyia..... Na uwanja wao saa hizi umegeuka bwawa dadadeki zao.
 
aleyn na everlink mambo vipi leo mapicha hatuyapati niko bizi sana
Aleyn tafadhali mwaga picha mimi hapa nipo bado barabarani..... Ngoja nimtafute yule mdau mwingine.....
 
Last edited by a moderator:
Barcelona: Ter Stegen; Alves, Pique, Mascherano, Alba,
Rakitic, Iniesta, Busquets; Neymar, Messi, Suarez
Suarez atawapelekesha puta hapo kati Messi na Neymar watamaliza kazi-unajua katika wachezaji wa mbele wakali Messi kwa dakika 90 ndio anakimbia less miles sema the moment mpira ukinasa mguuni kwake inakuwa shidah kubwa
 
Shemeji unadrive huku ukipost JF? Chondechonde sitaki kukukosa... Mi navyopewa habari za wadau walipo, tangu wametoka saa 11, nakata tamaa ya kutoka ofisini niende home. Isingekuwa mvua ningekamata bodaboda..... sasa huoni hii ni sababu nyingine ya kukesha Pentagon??

Hii mechi naona RM wametufanyia hila kama Jangwani walivyotufanyia..... Na uwanja wao saa hizi umegeuka bwawa dadadeki zao.

Shemej sasahivi nimeachia kachukua mwingine ili niwe karibu na wewe... Lol....hapana shemej Pentagon na hii mvua naona shetani atakupitia live bila chenga.....
 
Mmmmh majaribu haya.. Roho yangu ni ya Kijerumani tatizo.. ila kidogo nina itikadi za watoto wa Argentina hasa Rosario santa Fe.. kwa Che Guevara, Tevez na ndio maana hata Kiumbe wa ajabu namkubali pia.

karata yangu kwa Wajerumani... mnisamameeehe😎

Sichezi na wewe tena........ Daddy Aleyn amesema hapokei mahali yako na hataki kukuona tena......
 
Last edited by a moderator:
Sichezi na wewe tena........ Daddy Aleyn amesema hapokei mahali yako na hataki kukuona tena......

Lakini si nimeomba msamaha kabla.. usinitende hivi mamitoh...

updates gani mnataka!?? ila picha siwezi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom