FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Aisee Barcelona inapitia kipindi cha mpito tu ambacho klabu(yaani wachezaji) na uongozi hawaelewani lakini pia Messi kutaka kuondoka imewatia ugumu.

Lakini najua mtu pekee anayesabisha hayo ni Messi klabu imekuwa ikimtegemea kwa muda lakini kwa sasa haiko tena moyoni mwake.

Hivyo I'm sure kabisa Messi inabid8lo aende klabu nyingine Ndio Barcelona wajipe motivational "we can do without Messi"hapo ndipo nyota wadogo kama Pedri na Ansufati watajiona huru na kuitumikia timu kikamilifu
 
Karma is a bitch. Wakati CR7 anashuka kwenye bus kuingia uwanjani camp nou kazomewa sana na mashabiki wa barca. Nikasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Yani kabla jua kuchomoza jamaaa litawagonga mbele nyuma
 
[emoji408][SofaScore] | #BarçaJuve | Messi vs Juventus tonight

90 minutes played
125 Touches
77 Successful passes
90% Passing Accuracy
3 Key Passes
7 Shots on target
7 Duels won
4 Successful dribbles
4 Long balls completed

[emoji841] Ronaldo vs Barcelona tonight

89 minutes played
48 Touches
34 Successful passes
85% Passing Accuracy
1 Key Passes
3 Shots on target
1 Duels won
0 Successful dribbles
1 Long balls completed

You hate Lionel Messi because you don't understand football [emoji3531]
 
Mashabiki wa Barcelona akili za kitoto sana, they keep bragging all over the social media telling us how Messi was dribbling the ball 🤣🤣🤣
 
Jeshi la simba linaloongozwa na kondoo linazidi kushindwa vita kila linapopambana na jeshi la kondoo linaloongozwa na simba.

Uongozi ni tatizo
 
Hii timu ilishajifia dogo!
 
Scientifically Impossible 😆😆😆😆😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…