FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimemwangaliana mechi nyingi sana Griezman, kiukweli mfumo wetu hauendani nae kabisa. Nashangaa kwanini bado anaanza mechi nyingi.
 
Nimemwangaliana mechi nyingi sana Griezman, kiukweli mfumo wetu hauendani nae kabisa. Nashangaa kwanini bado anaanza mechi nyingi.
Hamna mfumo wala nini Griezman hachezeshwi right position na hiyo inapelekea kufanya makosa mengi na inamfanya akose confidence
 
Hamna mfumo wala nini Griezman hachezeshwi right position na hiyo inapelekea kufanya makosa mengi na inamfanya akose confidence
Sio sahihi, mchezaji mzuri ata kama hayuko position yake sahihi basi ata kutoa pasi na kumiliki mpira unaboronga. Position yake ipi sahihi mana mfumo wa sasa pale mbele kila mchezaji yuko huru na mara nyingi Griezman hua asimami mbele kama number 9, kuna mda kachezeshwa winger kafeli, number 9 kafeli, kapewa uhuru wa eneo la mbele kafeli.
 
Our frustrating goat
1604215850576.gif
 
Back
Top Bottom