FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sikuhizi tukidundwa nacheka sana hv nashindwa kuelewa tumerogwa ama yaan ukuta wetu ni takataka dah halafu nashindwa kumuelewa griezman anachezaga nini why tusimuuze hata wolves yaani tunamuacha Suarez tunambakiza braithware dah tunapitia wakati mgumu sana karaha ilioje
Kuna tatizo kubwa kwenye benchi la ufundi kuliko hata timu yenyewe tunayoiona mbovu. Ukifika wakati wa usajili kinachofanyika kinaenda kinyume na kinachotakiwa. Kuna mwaka timu ilifia kwa juventus kwa sababu ya ubovu wa ulinzi, mwaka juzi ikafia kwa R
roma tatizo hilo hilo mwaka jana timu ilipokea nne anfield, mwaka huu imekufa goli nane tatizo hilo hilo. Ukiangalia miaka yote minne timu inadhalilika kwa sababu ya ukuta mbovu ila ukifika msimu wa usajili inaenda kuleta washambuliaji badala ya kusajili beki za maana.
 
Koeman akifika xmass hajafukuzwa basi nitaamini Jose Maria ameamua kuiua Barca. Inauma sana lakini saivi wala hatuumii
Miaka karibu minne defense line yetu hasa CB mbovu lakini hakuna usajili wowote. Timu zinazojielewa kama Liverpool VVD kaumia last week
Wiki hii wana negotiate na schalke 04 kutafuta beki mpya January. Kazi ipo msimu huu.
 
Sahihi shida ya barca ni ukuta kila wakati wa usajiri nafikir viongozi watafanya jambo lakin wapi hivyo hayo ndio matokeo
 
Screenshot from 2020-10-27 23-03-48.png
 
Back
Top Bottom