FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ansu Fati....
✓ Youngest scorer in Barcelona history
✓ Youngest scorer in #UCL history
✓ Youngest scorer in Spain's history
✓ Youngest scorer in #ElClásico
 
Nadhani kama kuna watu wenye roho ngumu ni mashabiki wa barca. Ukiangalia miaka mitatu mfulululizo barca imekua ikipigwa kutokana na ukuta kua mbovu, lakini kwenye usajili wanahangaika na safu ya ushambuliaji.
Kwa timu hii kipigo cha goli nane hakijaisha.
Wewe endelea kutulia ivyo ivyo leo mnakaa kwenu.
 
Nadhani kama kuna watu wenye roho ngumu ni mashabiki wa barca. Ukiangalia miaka mitatu mfulululizo barca imekua ikipigwa kutokana na ukuta kua mbovu, lakini kwenye usajili wanahangaika na safu ya ushambuliaji.
Kwa timu hii kipigo cha goli nane hakijaisha.
Timu bovu wao wanakaza shingo tu. Sema pia leo Madrid alikosa umakini tu Barca alikua analala goli nyingi zaidi
 
Nadhani kama kuna watu wenye roho ngumu ni mashabiki wa barca. Ukiangalia miaka mitatu mfulululizo barca imekua ikipigwa kutokana na ukuta kua mbovu, lakini kwenye usajili wanahangaika na safu ya ushambuliaji.
Kwa timu hii kipigo cha goli nane hakijaisha.
Sikuhizi tukidundwa nacheka sana hv nashindwa kuelewa tumerogwa ama yaan ukuta wetu ni takataka dah halafu nashindwa kumuelewa griezman anachezaga nini why tusimuuze hata wolves yaani tunamuacha Suarez tunambakiza braithware dah tunapitia wakati mgumu sana karaha ilioje
 
Back
Top Bottom