SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Mrudisheni Frank Rijkaard aje aifufue hii timu tena. Tena mumuombe msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Messi naye ndo kiwango kinaisha hivyo nasikitika sana hawezi bila SuarezMrudisheni Frank Rijkaard aje aifufue hii timu tena. Tena mumuombe msamaha
Ila Messi naye ndo kiwango kinaisha hivyo nasikitika sana hawezi bila Suarez
Chemistry ya Messi na Suarez ilikuwa bora na watu wazima wote sasa hivi amebakia na vitoto tuSijui unaongea nini yani.. hawezi kiaje?
Chemistry ya Messi na Suarez ilikuwa bora na watu wazima wote sasa hivi amebakia na vitoto tu
No Ila nasikitika kumuona Messi akizeeka he's my Best Footballer in the World nahisi akistaafu soka na mimi naacha kufuatilia soka kabisaNdio unaamini hatoweza ...!!
Alistaafu pele alistaafu maradona na watu bado wanafatilia soka.No Ila nasikitika kumuona Messi akizeeka he's my Best Footballer in the World nahisi akistaafu soka na mimi naacha kufuatilia soka kabisa
Ndio matatizo ya millenials hao.Alistaafu pele alistaafu maradona na watu bado wanafatilia soka.
Aisee Messi ni moto bana ndo kanifanya nipende sokaAlistaafu pele alistaafu maradona na watu bado wanafatilia soka.
The kid is rising now1st goal. FatiView attachment 1583143
Ila huyu mzee Ronald Koeman nahisi anaipeleka timu pazuri tuanze kusherekea Barca yetu imerudi Ila asajili na mabeki sasa kina Pique wamechokaDest [emoji847][emoji847][emoji847]
Yani kule nyuma kukikaa gud bas barca itarud ktk peak yake,huyu mzee ana vision na pia ninachomkubali ana maamuzi magumu,huwezi kufikia mafanikio bila kujitoa akili kidogo!!!Ila huyu mzee Ronald Koeman nahisi anaipeleka timu pazuri tuanze kusherekea Barca yetu imerudi Ila asajili na mabeki sasa kina Pique wamechoka