GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Kwahiyo hapo unaona umeongea bonge la point?Utapata presha shauri yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hapo unaona umeongea bonge la point?Utapata presha shauri yako
Achana nae mamluki huyo..Kwahiyo hapo unaona umeongea bonge la point?
Nadhan Barcelona wanaitaji zaidi kusajili benchi la ufundi kabla ya kufanya lolote ndo kidogo tutaiona barca ile ya ushindani. Misimu mitatu mfulululizo timu inaondolewa kwenye UCL kwa makosa ya ulinzi lakin wanahangaika na washambuliaji badala ya beki. Ukiangalia ile mechi ya Bayern timu haikuzidiwa kiasi cha kufungwa goli nane ila makosa ya kiulinzi ndo yaliyoleta goli nane, mwaka jana anfield zile nne ulikua udhaifu wa ulinzi ila cha kushangaza timu iko busy na kutafuta washambuliaji. Kama wasipobadilika na kuanza kushughulika na tatizo kubwa linalowasumbua la ulinzi na msimu ujao wakikutana na wanaume UCL watakufa vibaya.Bila kusajili defenders angalau wawili wenye akili, tutaendelea kudhalilika sana. Defense ya Pique na Lenglet haitufai chochote hata tukiwa na Leonel Messi wawili kule mbele!
Kila adui akija kwetu anatupia, muda wa kushambulia tutautoa wapi?
Naona hii formation itakua poa sana kwa griziemann na coutinho..View attachment 1571745
Barcelona is Back
Trincao noma
Messi hajaisha kiwango ni yuleyule
Ila Jezi mbaya bana
Sema Countinho raundi hii watamkoma
Griezman siyoVipi #7 wetu huyo
Coutinho alikuwa Bayern kwa mkopo? Mbona alicheza na akafunga goli mbili..Phillipe coutinho rasmi tunaye tena,Miralem Pjanic Huyu kiungo aliyekuja kwa kubadilishana na Arthur nae fresh,
Tusubirie akina Lautaro na Depay..japo kocha wa Lyon anasema Memphis keshachelewa kama kuondoka angeondoka august sasa wacha tusubirie ninani tutampata
Barcelona is Back
Trincao noma
Messi hajaisha kiwango ni yuleyule
Ila Jezi mbaya bana
Sema Countinho raundi hii watamkoma
Trincao yupo vizur sana anajiamini!! Now katika midfield, na striking force tuko poa shida huku katika mabeki kuna utopolo kidogo!Barcelona is Back
Trincao noma
Messi hajaisha kiwango ni yuleyule
Ila Jezi mbaya bana
Sema Countinho raundi hii watamkoma
Pale mbele bado sijaona cheche za griezmann sijui ana tatizo gani,atakuja kuwekwa bench na depay maana sasa hivi anacheza position yake shida ni nini kwake??
We mtu alisha kuambia hawezi fundisha barca bora akachunge ng'ombe... kwasababu gani uendelee kumng'ang'ania?Salaam, sijapita hapa siku nyingi sana. Jamaa zangu kina Aleyn GUI1 PNC na wengine. Baada ya mimi kuhamishia mapenzi kule anfied napitaga tu hapa na kucheki wadau mnasemaje.
Nimepokea kwa mstuko mkubwa kwa taarifa kuwa Luis Suarez anaondoka na kwenda kujiunga na mabingwa wa italia juventus. Leo alionekana mjini perugia alikoenda kwa ajili ya kufanya mazungumzo na uongozi wa juve kuhusu yeye kujiunga nao.
Tukubaliane, kutokubaliana. Zama zetu kwa sasa zimefikia mwisho. Ile baecelona iliyojengwa miaka kumi iliyopita ndio imefikia mwisho. Inatakiwa barcelona mpya. Ile aliyorithi Guandiola toka kwa Ridjikaard amebakia Messi pekeake bado anacheza. Wengine wote wamesha staafu au wanamalizia soka lao vilabu vingine vya madaraja ya chini.
Wachezaji aliokuwa nao Guandiola na,Tito Villanova, first 11 yao kwa sasa wamebaki wa3. Pique, Busquet na Messi. Wengine wote wameondoka,
So, tunahitaji barceloa mpya. Kuanzia bench la ufundi, hili lifumuliwe lote, hadi wachezaji. Tuanze mdogo mdogo. Tuangalie wapi pa kurekebisha. Na kwa maoni yangu backline ndio mbovu na ndio panye udhaifu mkubwa. Hapa apatikane watu kama Upamecano na Mathijs de Ligt. Then wapandishwe wawili toka kule timu B.
Mabeki wa pembeni/flank upande wa kulia hapajapwaya. Yupo Semedo na Sergi Roberto. Kule kwa alba kina Firpo wameshindwa kuonyesha uwezo wao. Atafutwe mmoja wa kiwango cha Hakimi asaidiane na Alba. Firpo auzwe.
tuna stoke kubwa ta viungo. hapa kocha ndio ana mtihani mgumu. Wapunguzwe wabakie wachache haswa waliotokea pale la masia. Hawa wanaelewa falsafa ya barcelona vizuri. Rakitic, Aigizwe sokoni.
Pale mbele. Goal geter mmoja wa viwango vya Suarez, grezmann kashindwa kuonyesha thamani yake. Kina breithwe hawafai kuchezea barcelona aondoke hata kwa free poa tu.
Mwisho makocha wa aina ya Quique Sitien na huyu wa sasa bado hawana uwezo wa kuifudisha barcelona. Tunahitaji makocha wenye ujuzi na ubora. Hivi walishindwa nini kumpa timu pocchetino aliyekuwa spurs? Yule kacheza spain na analijua soka la spain nje ndani.
Huu msimu utakuwa mgumu na wwnye fesheha nyingi sana. jiandaeni kisaikolojia maana mlizoea kupata raha ila sasa ni kinyume chake.
Huyu atakuwa shidaPuig another thiago alcantara...
Hana kazi kwa koeman
Koeman Kama Koeman atafeli mapema Sana ,ni mjinga tu Kama wengine ,Barcelona sio national team ya waholanzi na wala haina agenda ya ku promote soccer la kiholanzi japo tuna unasaba nao
Koeman anaenda kuangukia pua kwa maamuzi ya ajabu ,how could you know ubaya wa mchezaji kabla hata haujafanya assessment training? unafanya maamuzi kwa habari za kusikia?unakaa na mchezaji chini ya mwezi mmoja una judge vipi ana bad performance ,Huyu jamaa ni moja ya mazuzu
Netherland national team sio Barca Everton, Southampton ,PSV,Ajax ni team ndogo sana ,hazina kiu ya mafanikio
Barcelona namtabiria anaenda kuangukia pua ,anaua morale ya wachezaji
Huyu atakuwa shida