ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hatimaye haondoki tena !!
# Ni Yeye
# Ni Yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi adumu milele maana yeye ndio barcalona na Barcelona ni yeye washabiki wa Barcelona waseme Amen.My opinion :Messi hataondoka Barcelona kilichofanyika kiwe funzo kwa board ya Barcelona
Ukweli ni kwamba Messi ndio anaijua Sana Barcelona kushinda hata sisi washabiki ,na yeye ameelekezwa mikuki mingi kwa kuilinda Barca ikifika point anasusia ujue Kuna jambo kubwa linakua limetokea
Bartomeo Kama Rais amemdanganya Sana MESSI kuhusu kuunda team yenye ushindani kiasi kwamba the God of football lazima ahisi kuwa kipaji chake kinapotezwa bure ,katika mazingira Kama hayo hamna mtu angependa kukaa
In short board ya Barcelona inaoinyesha incompetency na kutojitosheleza kwenye enzi za modern football angalia jinsi wanavyofanya usajili (recently wamemuuza mchezaji kwenye miaka 23 na kumnunua miaka 32)
Pamoja na kuondolewa kwenye UEFA champions league katika mazingira ambayo yanaonyesha ubovu wa team ,+goli 4 Roma,Goli 4 na liverpool ,Copa de ley na Valencia ,Board na rais wake wala hawakustuka team kama hii ukiwa mzalendo wa kweli lazima utangaze kuondoka ,haiwezekani team inatoka kwenye ramani ya team bora ukasimama kimya
All in all kilichotea sisi Kama mashabiki wa Barca (cules) wa damu ,sisi sio plastic fans ,we are hardcore loyal fans we stand with the team in beautiful and difficulty situation
Tuirudishe Barca yetu tuchukue Laliga na UEFA ikiwezekana tremble
Kidumu chamaMessi adumu milele maana yeye ndio barcalona na Barcelona ni yeye washabiki wa Barcelona waseme Amen.
Bila kusajili defenders angalau wawili wenye akili, tutaendelea kudhalilika sana. Defense ya Pique na Lenglet haitufai chochote hata tukiwa na Leonel Messi wawili kule mbele!Nasikia tunaenda kufanya attempt kubwa nyingine kumchukua Lautaro Martinez... Inaelezwa yeye ndiye anabaki kipaumbele chetu nambari moja.... Ila kwanza naona wanataka kujua Suarez anaondokaje ondokaje then mipango iendelee..... Mbona tutakua watamu tu
Bila shaka na wewe ulishajifia ndio maana unacomment kwenye maitiHii timu ilishajifia hakuna cha ziada humu
Hauna timu wewe usijipe moyoBila shaka na wewe ulishajifia ndio maana unacomment kwenye maiti
Kitu peke kinaweza kuongea na maiti ni maiti, kwahiyo na wewe ni maiti.Hauna timu wewe usijipe moyo
Wewe vipi sio maitiKitu peke kinaweza kuongea na maiti ni maiti, kwahiyo na wewe ni maiti.
Wewe ndio maitiWewe vipi sio maiti
Sasa kama hadi leo unashabikia Barcelona unatofauti gani na maitiWewe ndio maiti
Aisee kwahiyo kwa tafsiri yako na akiri yako mashabiki wa Barca ni maiti? Mpaka hapa sina haja ya kuendelea kujibizana na mtu mfu kama wewe, enyoj your daySasa kama hadi leo unashabikia Barcelona unatofauti gani na maiti
Sasa mna timu nyie barca mbona hamtaki kukubali ukweliAisee kwahiyo kwa tafsiri yako na akiri yako mashabiki wa Barca ni maiti? Mpaka hapa sina haja ya kuendelea kujibizana na mtu mfu kama wewe, enyoj your day
Tunae weweSasa mna timu nyie barca mbona hamtaki kukubali ukweli
Utapata presha shauri yakoTunae wewe