FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Timu nzuri lkn nyuma pameoza mbele pameoza, griezmann na dembele nguvu yao ndogo mno kuweza Ku match na lapulga
Nyuma akina shakira na MTU kama buesquet wamezeeka sasa..timu inahitaji big re form pale, kule mbele messi aletewe watu wa kariba LA lautaro martinez, debruine, neymar...wakiwa na ansu at least mambo yataenda
 
Barcelona imemilili mpira na kupata nafasi nyingi za kufunga lakini ndio hivyo tena fungu la kukosa
 
Nilichofurahi pamoja na kutolewa lakini Barca tumerudisha umiliki wa mpira kwa 90% toka 50% niliyoona mwezi mmoja uliopita,Barcelona tumeonyesha kiwango na mpira wa kuvutia na kwa kweli yamebaki mapungufu kidogo mno Barca tunarudi kwenye form soon
Hongera Lonald Koeman unakuja vzr
 
Aguero,Garcia toka mancity Erling Haaland wa Borussis dotimond David Alaba toka Bayern na Depay hawa wote ni target za Barcelona walizotega kipindi hiki
Tutanoga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…