FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

BEST IN THE WORLD [emoji471][emoji471][emoji471]View attachment 1733449
IMG_20210324_185144_245.jpg
 
Best? Alafu Atletico unaiacha wapi?

Kama unafatilia laliga ungeelewa nachomaanisha...mwaka huu Barca hajapoteza mechi na ameshinda mechi zote za away kwenye laliga.ATM amedrop points sana na gap limezidi kupungua na Barca inakuja kwa kasi na wanacheza vizuri ukilinganisha na the rest of teams in laliga soon atakuwa on top of the league na leo ATM ana game ngumu away na Sevilla.
 
Kufungwa si ajabu,tumecheza vizuri lkn mpira una matokeo matatu
Ligi haijaisha wacha tuone tunakoelekea

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naona dalili ya Barca kua bora zaidi kwa siku za mbeleni. Bahati haikua upande wao ila mpira walicheza vizuri zaidi ya wapinzani wao R. Madrid japo walipoteza kwa matokeo ya jumla.
 
Back
Top Bottom