Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Sichezi na wewe tena........ Daddy Aleyn amesema hapokei mahali yako na hataki kukuona tena......
Barca wanaroga nini? Lowenewski kakosaje hapo ..
kama barc watafungwa Leo naona itakuwa safar imefka
kama barc watafungwa Leo naona itakuwa safar imefka
40' Mins | Barca 0 Bayern 0
Walisema hivyo Monaco walipoifunga Bayern kilichowakuta Mungu pekee ndiye anayejua