FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mtu alitakiwa ameshalowa 4 hapa,,hawa Barca watatuuwa kwa presha...
 
lile goli alilokosa suarez ilikua mbele yangu kuna glasi ya maji niliipiga teke chini imevunjika daahhh lakini hatuwaachi

Ile chance imeniuma sana yaani hata angefumua tuu hata DOCHI. alitaka kupiga tobo mahesabu hayakukubali
 
huu ukuta wa berlin wa Bayern naona umefungwa vilivyo- lakini barca watapenya tu kama vipi plan b and c zitakuwa triggered- lazima wakae kando. Madrid mnaona wanaume wanavyotandaza ball???

Ukuta wa bayern leo umepwaya sana. Kama sio makosa ya washambuliaji wetu mpaka sasa tungekuwa tunahesabu 3 bila
 
Mungu wanguuuuu....

Bayern anahitaji wings wanaokimbia pembeni tuu, game ingeshakwisha muda.

i miss u robben + Ribery
 
huu ukuta wa berlin wa Bayern naona umefungwa vilivyo- lakini barca watapenya tu kama vipi plan b and c zitakuwa triggered- lazima wakae kando. Madrid mnaona wanaume wanavyotandaza ball???

barc wanafungwa leo amin uciamin
 
Nasikia Pep G kajichanganya badala ya kuwapa Bayern mawaidha half time kawapa Barca
 
Back
Top Bottom