FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Amini usiamini Laporta kamfukuza Messi Barcelona kwa mpango ambao hata hautafanikisha kabla yeye hajalipa gharama zake


Ni suala la muda tu ,sikutaka kuandika ila imenilazimu niandike kidogo tu

Messi 100% alitamani kubakia Barcelona kwa lengo la kulipia fadhira kwa wanaoijua Barca vizuri hii ni mara ya pili ,mawimbi ya dhoruba ya financial crisis yanampitia Messi ,na yeye personally akalazimisha kukaa kwa kupunguza zaidi ya 50% ya salary na hadi alhamis inafika Leo hakutaka kuondoka ,kwa sababu hakua na plans zozote zile

Manguli wengi wa uchambuzi hadi sasa hamna mtu hata mmoja ameweza kutanabaisha sababu maalum ,kama issue ya FFP wachezaji wangapi wanaitia team hasara wangeweza kuuzwa?

Unalalamika uchumi ,then unamuuza mchezaji au jembe ambalo linakuzalishia we uliona wapi ,mchezaji anaongoza kuuza jezi ,uwanjani zaidi ya asilimia 40% ya ushindi contribution anatoa Messi ,watu wanaingia uwanjani kuona Messi anafanya nini Leo,The Messi Brand ,magics ?

Laporta anaumwa it's the matter of time tu ,kwa team ile hata Copa del Ley tutalisikia tu ,achilia mbali Laliga

Na mimi nawaambia huyu kocha kabla ya January ...ataondoka ,tujiandae kupigwa vipigo vya mbwa Koko
Yaani ile chanting ya Messi Messi uwanjani nobody gonna cover it

Unamtengeneza mfalme halafu unamfukuza ,are you crazy?

On the other side ,Messi ni next Bol Dors winner ,nakuhakikishieni PSG na France watahakikisha anachukua ya saba ,ana vigezo kushinda yeyote,and Financially jamaa mpunga wake ni mrefu sana kichauma zaidi ,the Messi impact anaongeza market share ya PSG ,so team imenufaika na itanufaika sana kwa kumsajili Messi

My prediction Messi atarudi Barcelona 2023 ,kama shujaa kwa free transfer huku tukiwa tumepigika sana na kusaga meno na Laporta ni suala la muda tu ,ile vote ya no confidence atapigiwa yeye
Mi naona Messi alikuwa ashachoshwa Na Barca na ashapanga kuondoka.. Laporta Na Messi walikaa chini wakadiscuss njia ambayo Messi ataondoka bila mashabiki kutupa lawama Kwa Messi (Hana shukran) au kwa Laporta mwenyewe.
Ndo wakaandaa hii movie waliyotuektia
 
  1. Piqué is going to have a very low % of his salary. He will play 'almost' for free (compared to other players). He will extend his contract for a year (until 2025) & will collect what was agreed once he leaves. He has done both, deferred & reduced wages.
  2. Memphis, Eric Garcia and Rey Manaj have been registered, club confirms. Barcelona also thanks Pique for reducing a significant part of his salary.
1628933546735.png
 
Naona mashabiki wa Messi bado wapo kwenye maombolezo basi timu ikishinda wao wanaumiaaaa balaa. Acheni kuiombea mabaya team yenu,alipoondoka CR7 R madrid mlikua mnabeza na kucheka sana sasa zamu yenu.

Huu ndo muda mtamu wa kuangalia la liga yenye uhondo na magoli ya kutosha
 
Barcelona ilikuwepo kabla ya Messi mkuu......Usitake useme bila Messi itakufa noooo......alikuwepo Figo akaenda madrid ila barca wakawa on top......umemsahau Ronaldinho, Deco, Xavi, Iniesta hao wote walikuwa na mchango mkubwa sana ila waliondoka and nothing changes.....

usishangae miaka 2 mbele kukawa na next star pale usishangae Fati akiwa on 25-30 goals baada ya miaka 2
 
Barcelona ilikuwepo kabla ya Messi mkuu......Usitake useme bila Messi itakufa noooo......alikuwepo Figo akaenda madrid ila barca wakawa on top......umemsahau Ronaldinho, Deco, Xavi, Iniesta hao wote walikuwa na mchango mkubwa sana ila waliondoka and nothing changes.....

usishangae miaka 2 mbele kukawa na next star pale usishangae Fati akiwa on 25-30 goals baada ya miaka 2
Hao wote uliowataja hawafiki hata nusu ya legacy ya Messi.
Uongo mtamu ila ukweli Usemwe Messi was bigger than Barcelona
 
Back
Top Bottom