FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Rais wa Barcelona Joan Laporta ana imani kamili na meneja Ronald Koeman na hana mpango wa kumtimua. (Sport)
 
Barcelona inapanga kufanya mazungumzo na ajenti wa Ousmane Dembele kuhusu kuongeza kandarasi ya mshambuliji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 24, lakini hakuna mkutano uliofanyika kufikia sasa.
 
Hii club yetu imepoteza mvuto imekuwa kama takataka.. ni ac Milan iliyochangamka
 
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Youri Tielemans anasema kwamba anaweka hatma yake wazi huku akiendelea kujadiliana kuhusu mkataba wake na klabu ya Leicester. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amehusishwa na uhamisho wa Liverpool, Manchester United , Barcelona na Real Madrid..
 
Bado tukiwa na shida na ukuta tayari tatizo la wafungaji limeongezeka....hakuna namna timu yetu isukwe upya....cjui kipi kinachosababisha tusisajili ma straiker wa kiwango na hadhi yetu kama walivyokua enzi za MSN....
Naona safari hii tupambanie makombe ya ndani tu
Bila kurudi Pep hapo camp nou nahisi hakuna mwalimu atakayetunusuru
 
Barcelona ya bila Pulga ni kama utopolo.

Messi rudi nyumbani uokoe jahazi,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…