lile goli alilokosa suarez ilikua mbele yangu kuna glasi ya maji niliipiga teke chini imevunjika daahhh lakini hatuwaachi
huu ukuta wa berlin wa Bayern naona umefungwa vilivyo- lakini barca watapenya tu kama vipi plan b and c zitakuwa triggered- lazima wakae kando. Madrid mnaona wanaume wanavyotandaza ball???
Ukuta wa bayern leo umepwaya sana. Kama sio makosa ya washambuliaji wetu mpaka sasa tungekuwa tunahesabu 3 bila
huu ukuta wa berlin wa Bayern naona umefungwa vilivyo- lakini barca watapenya tu kama vipi plan b and c zitakuwa triggered- lazima wakae kando. Madrid mnaona wanaume wanavyotandaza ball???
Bayern naona wamebana vibaya mno...
Shemeji nimefurahi sana kwa kujitolea kwako kwangu.
Nakuandalia zawadi nzuri. Usisahau kunitafuta.
Mungu wanguuuuu....
Bayern anahitaji wings wanaokimbia pembeni tuu, game ingeshakwisha muda.
i miss u robben + Ribery