FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Arteta mbona anafanya vzr acha roho mbaya mkuuu
 
Na nyie barcelona mmeanza habari za DNA? Sawa tunasubiri msije kataana mbeleni
 
Na nyie barcelona mmeanza habari za DNA?
Barcelona hatujaanza habari za DNA.

Tunaposema barca DNA tuna maana ya our traditional positional style of play which is tiqui taca(tiki-taka) derived from the total football.
Sawa tunasubiri msije kataana mbeleni
Aaah kaa kwa kutulia barca ndo inarudi hiyoo

Usije kupotea wewe.
 
Sisi tunatengeneza timu. Tumeanza upya from the scratch. Kwa watoto kama Nico Gonzalez, Pablo Gavira na Yusuf Demir, haya matokeo tunayoyapata sio mabaya. They're doing good. Ni suala la wakati tu!
Kwani mlifungwa!? Ngapi!?
 
Kwani mlifungwa!? Ngapi!?
Hatujafungwa ni draw.

Hao ni haters.

Kwa hali aliyokuwa nayo barca mpaka kufikia kucheza mpira kama ule jana ni jambo la matumaini sana.

Xavi anaibadilisha hii timu kuwa ya ushindani.

Tumpe muda tu matumaini yanaonekana.
 
DNA inaanziaga Europa.....

Leo hii hata Benfica anapata matokeo Camp now hahahahaha dah hatari sana
Kwani mechi ya kwanza na benfica barca alifungwa ngapi?

Mechi ya jana ni draw.

Kama ukiacha ushabiki maandazi utagundua timu inarudi kuwa ya ushindani kwa kasi kubwa sana.

Vamos barca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…