FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Timu nyingi zinatumia legends ila ni failed projects Zizzou mara ya pili madrid ni failed project, Arteta, lampard, solskjaer, Gattuso pale millan, kenny darglish liverpool, wengi ni failed projects.....Nje ya guardiola ni nani aliefanikiwa mkuu? au Koeman si legend wenu? .....

Ila tumpe muda anaweza fanya vizuri sana japo ligi yao sio ya kusema ni mtu bora sana
Arteta mbona anafanya vzr acha roho mbaya mkuuu
 
We mpumbavu kweli unajua anachokifanya xavi kwa sasa.

Xavi ana restore our beloved cruyff philosophy ana restore our DNA.

Nenda youtube kacheki training session za barca under Xavi uone jinsi training intensity yetu ilivyoongezeka.

Japo itamchukua mda timu kukaa sawa but barca itarudi tu kuwa timu tishio.

Hater kaa kwa kutulia.
Na nyie barcelona mmeanza habari za DNA? Sawa tunasubiri msije kataana mbeleni
 
Na nyie barcelona mmeanza habari za DNA?
Barcelona hatujaanza habari za DNA.

Tunaposema barca DNA tuna maana ya our traditional positional style of play which is tiqui taca(tiki-taka) derived from the total football.
Sawa tunasubiri msije kataana mbeleni
Aaah kaa kwa kutulia barca ndo inarudi hiyoo

Usije kupotea wewe.
 
Yusuf Demir
Remember the Name
FE6DvM1XMAYuCmK.jpeg
 
Sisi tunatengeneza timu. Tumeanza upya from the scratch. Kwa watoto kama Nico Gonzalez, Pablo Gavira na Yusuf Demir, haya matokeo tunayoyapata sio mabaya. They're doing good. Ni suala la wakati tu!
Kwani mlifungwa!? Ngapi!?
 
DNA inaanziaga Europa.....

Leo hii hata Benfica anapata matokeo Camp now hahahahaha dah hatari sana
Kwani mechi ya kwanza na benfica barca alifungwa ngapi?

Mechi ya jana ni draw.

Kama ukiacha ushabiki maandazi utagundua timu inarudi kuwa ya ushindani kwa kasi kubwa sana.

Vamos barca.
 
Back
Top Bottom