Timu inarudi? Sababu mmedraw na Benfica camp nou upo serious mkuu?....Kwani mechi ya kwanza na benfica barca alifungwa ngapi?
Mechi ya jana ni draw.
Kama ukiacha ushabiki maandazi utagundua timu inarudi kuwa ya ushindani kwa kasi kubwa sana.
Vamos barca.
TUPINGE?Timu inarudi? Sababu mmedraw na Benfica camp nou upo serious mkuu?....
Ngoja mkutane na bayern ndio mtajua kama timu imerudi au vipi
Matumaini ya kilema siku moja atakwea mti[emoji848][emoji848]Bayern wanakwenda kutufunga, huo ndio ukweli.
I believe we will build the team that no one wants to play against, the FCB of old days.
For now wacha twende Europa League (Kombe la mbuzi) for the first time after Leo departure.
Tots Units Fem Forca.
Sawa mkuu, tupinge tuone hali ikakuwaje.TUPINGE?
Matokeo wanapata hawapati? Utalinganisha Na Koeman,Valverde Na Setien?Wakuu habari.....Niliposema Barca haitaimprove chini ya Xavi niliangalia mechi 2 nikaona aina ya mpira ambao Xavi anaita tiki-taka ila sio tiki-taka halisia
Barca wanacheza pasi ndefu tofauti na asili ya tiki-taka yani wachezaji wanatanua sana uwanja na hawaonekani kuhitaji mpira kw akuufuata ili kufungua timu pinzani
Pia hii Barca game 3 sasa naona wanatumia winga sana katika mashambulizi yao kuliko katikati ya uwanja kupitia penetration passes na short passes zenye one two, square, na triangle ili kufingua pia tim pinzani....
Pia nilichoona leo ni pasi ndefu ndefu mfano wa mpira wa pressing ya klopp pia nimeona winga ndio wanategemewa kuanzisha mashambulizi na sio katikati kama kawaida ya mpira wa Barca...hatukatai kutumia winga ila sio kurely sana kutumia winga badala ya katikati.....pia wachezaji wa kucheza tikitaka wapo mfano De jong ambae ameanzishwa benchi na xavi kuwaweka viberenge
Usisahau valverde alichukua la liga mkuu....ngoja Xavi nae tuone kama atawezaOi
Matokeo wanapata hawapati? Utalinganisha Na Koeman,Valverde Na Setien?
Mwakani....saivi Koeman kashaharibu Sana ata uko UEFAUsisahau valverde alichukua la liga mkuu....ngoja Xavi nae tuone kama ataweza
Hiyo point ya mwisho ndio ukae nayoBarca is too good for Eyropa league. Tunafuzu for the next stage hata kama Bayern wakitufunga. Kwani aliesema Lazima Benfica ashinde mechi yake leo ni nani?
Anyway, kwa lolote litakalotokea, nimejiandaa kisaikolojia!
Benfica anaongoza 2Barca is too good for Eyropa league. Tunafuzu for the next stage hata kama Bayern wakitufunga. Kwani aliesema Lazima Benfica ashinde mechi yake leo ni nani?
Anyway, kwa lolote litakalotokea, nimejiandaa kisaikolojia!