Wakuu habari.....Niliposema Barca haitaimprove chini ya Xavi niliangalia mechi 2 nikaona aina ya mpira ambao Xavi anaita tiki-taka ila sio tiki-taka halisia
Barca wanacheza pasi ndefu tofauti na asili ya tiki-taka yani wachezaji wanatanua sana uwanja na hawaonekani kuhitaji mpira kw akuufuata ili kufungua timu pinzani
Pia hii Barca game 3 sasa naona wanatumia winga sana katika mashambulizi yao kuliko katikati ya uwanja kupitia penetration passes na short passes zenye one two, square, na triangle ili kufingua pia tim pinzani....
Pia nilichoona leo ni pasi ndefu ndefu mfano wa mpira wa pressing ya klopp pia nimeona winga ndio wanategemewa kuanzisha mashambulizi na sio katikati kama kawaida ya mpira wa Barca...hatukatai kutumia winga ila sio kurely sana kutumia winga badala ya katikati.....pia wachezaji wa kucheza tikitaka wapo mfano De jong ambae ameanzishwa benchi na xavi kuwaweka viberenge