FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Umeona sasa unavyojichanganya

Sasa timu ndogo iliweza vipi kufika Final ya UEFA .

Na nimekutajia mfano wa Maradona ili kukuonyesha kuwa Barcelona ni miamba ya soka barani Ulaya toka kitambo sio wewe kujua kwako mpira 2007 ndio useme imeanza kuvuma 2007
 
makombe yapi? labda mic mouse cup kama copa del rey, la liga mko nyuma ya Madrid, uefa hamjaifikia Milan, bayern ,liver, kifupi ni timu iliibuka 2006 ghafla baada ya kubahatika kuwa na vipaji ,sasa inarudi ilipotoka before 2006
Naomba uweke hapa takwimu za kombe lenye heshima Kubwa Hispania a.k.a Kombe la Mfalme ama waweza liita Copa Del Rey kama ulivyolitamka

Sasa weka takwimu kati ya Real Madrid na Barcelona aliyetwaa mara nyingi ni nani halafu ukimalza kuweka ukakojoe ulale
 
Una matatzo wewe

Sema kabla ya 2004 ulikuwa bado unanyonya huko

Hivi unafahamu hata Maradona amekiwasha sana Barcelona au unaongea tu
Barca ndio club iliyotoa wachezaji wengi wa balon'dor
Romario - 1
Ronaldo de Lima - 1
Rivaldo - 1
Ronaldinho - 2
Messi - 6
 
hata England kombe lenye heshima ni FA ila lenye maana ni la ligi, ndio kama hilo la mfalme huko, huwezisema eti kuchukua kombe la mfalme ni mafanikio kuliko La liga
 
Nimefatilia comments zako zoote unaandika UHARO!!
 
Barca ndio club iliyotoa wachezaji wengi wa balon'dor
Romario - 1
Ronaldo de Lima - 1
Rivaldo - 1
Ronaldinho - 2
Messi - 6
Vitoto vya juzi vinakwambia Barca ni timu ya 2006
 
hata England kombe lenye heshima ni FA ila lenye maana ni la ligi, ndio kama hilo la mfalme huko, huwezisema eti kuchukua kombe la mfalme ni mafanikio kuliko La liga
Ni mafanikio ndio ndio maana likaitwa Kombe lenye heshima

Sasa lingekuwa si la mafanikio si wangeliondoa
 
Kufuatilia Mambo ya siasa Ni kutafuta kujiumiza tu akili na kuuchukia uTanzania wangu, Wacha niishi tu nakuyafurahia yanayonipa furaha lakini sio siasa. Bora niumie sababu Barcelona imefungwa kuliko kujua Kuna fisadi ameiba pesa za walipakodi na hajawajibishwa kwa namna yoyote.
 
Tumedraw na Sevilla jana. For the first time this season, jana tumemzidia mtu tena mbabe. Dembele anafanya kazi nzuri sana. Abde, Gavi na Araujo pia wamekamua sana.

In short, we are on the right track. Itachukua muda kurudi kwenye ubora wetu, but we'll be there!
 
Unajifariji tu. Huo muda ni muda gani. Hivi bado mna ndoto ile Barca ya akina Xavi, Iniesta, Messi and the like itarudi? Sahau sana hilo. Na msimu huu hata nafasi ya Champions league itakuwa ngumu sana labda Europa.
 
Basi hapo unajiona boooonge la mchambuzi!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajifariji tu. Huo muda ni muda gani. Hivi bado mna ndoto ile Barca ya akina Xavi, Iniesta, Messi and the like itarudi? Sahau sana hilo. Na msimu huu hata nafasi ya Champions league itakuwa ngumu sana labda Europa.
Mbona ukiachana na real Madrid bado point 5 kukaa top 4 maana aliyeshika nafas ya tatu akipoteza mech 2 hasira za nini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…