FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

[emoji28][emoji28] baba Shakira muhuni muhuni sana
20220321_000632.jpg
 
Barcelona is BACK! This sentence can FINALLY be said with confidence, what an absolute CRAZY GAME! We dominated the entire 90 minutes. Xavi, my goodness, what a coach!
FOU0ZdTX0AELZoK.jpeg
 
Pique; sikia dogo humshindi hata goal moja leo, sawa dogo!?

Vinicius; bro!, acha kutukazia, tuachieni hata goal moja
FOU324QWYAIy51k.jpeg
 
Next revenge ni kwa BAYERN MUNICH siku yoyote tutakayompata tumkanyagee wee mpaka bas katudhalilishana nae yule [emoji28] #vivabarça viva catalunya
 
Magazeti ya Spain yanaandika hii midfield ya Barca kufikia msimu ujao itakuwa haikamatiki-yanadai midfield ya kina Iniesta inasukwa upya na Xavi-katikati Barca imekuwa mithili ya python inakunyima pumzi alaafu inakumeza mzimamzima. Yes Barca are back crisp passes pekee ni worth the entrance fee.Madrid may win la liga but Barca will be very close
 
Yaani kwamba hivi Xavi (Xavier) ni "genius" ndani (akiwa mchezaji) na nje ya uwanja (akiwa kocha). Ameibadirisha timu kwa kiwango cha hali ya juu sana. Kila mchezaji amekuwa Bora muno kuanzia beki zote, midfielders na washambuliaji pia. Jana Madrid walikuwa wanazurura tu hawaelewi nini cha kufanya. Pigiwa pass kama zote alafu rula na sambusa tupu (pure tik-taka na rondo) kama enzi zetu zile za kina Inesta na Xavi. Timu za ulaya zijiandae tunaenda kuwa na Barca ambayo ni tishio ulaya na Dunia nzima. i.e yaani kama ile iliyomfanya Ferguson ashikwe na kiharusi nakushindwa kutafuna bigiji ktk ile fainal ya Uefa .... Kifupi timu yetu inatisha Sana kwa sasa...
 
Back
Top Bottom