Pure tiki taka.Tiki taka inayopigwa hapa huwezi ipata hata kwa man city
Tiki taka inayopigwa hapa huwezi ipata hata kwa man city
Mkuu hongereni sana, Nimeona jinsi mlivyomtawalq Madrid tena bernabeu.....mwanzo mzuri Kwa XaviNiitieni Tanyzer kokote mtakapomuona.
Kaeni kwa kutulia Messi anarudi Barca[emoji1787]Tuleteeni bayern
Tuleteeeeeni bayern
Tuleteeeeeeeeeeni bayern
Gari lishawaaka
Madrid kwetu ni dada poa wa mkuwajuniUmeona Kaka yenu Mess alivyopigwa na Real Madrid?
Mpaka watajuta siku hiyo... DaaadekNext revenge ni kwa BAYERN MUNICH siku yoyote tutakayompata tumkanyagee wee mpaka bas katudhalilishana nae yule [emoji28] #vivabarça viva catalunya
Yaani kwamba hivi Xavi (Xavier) ni "genius" ndani (akiwa mchezaji) na nje ya uwanja (akiwa kocha). Ameibadirisha timu kwa kiwango cha hali ya juu sana. Kila mchezaji amekuwa Bora muno kuanzia beki zote, midfielders na washambuliaji pia. Jana Madrid walikuwa wanazurura tu hawaelewi nini cha kufanya. Pigiwa pass kama zote alafu rula na sambusa tupu (pure tik-taka na rondo) kama enzi zetu zile za kina Inesta na Xavi. Timu za ulaya zijiandae tunaenda kuwa na Barca ambayo ni tishio ulaya na Dunia nzima. i.e yaani kama ile iliyomfanya Ferguson ashikwe na kiharusi nakushindwa kutafuna bigiji ktk ile fainal ya Uefa .... Kifupi timu yetu inatisha Sana kwa sasa...Magazeti ya Spain yanaandika hii midfield ya Barca kufikia msimu ujao itakuwa haikamatiki-yanadai midfield ya kina Iniesta inasukwa upya na Xavi-katikati Barca imekuwa mithili ya python inakunyima pumzi alaafu inakumeza mzimamzima. Yes Barca are back crisp passes pekee ni worth the entrance fee.Madrid may win la liga but Barca will be very close