FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Umesababisha nifukue ID yangu ambayo nilikua nimeanza kuisahau. I'm always here, cause I can't be anywhere else!

Ujumbe wangu ni mfupi tu, "waliosema hainyeshi, sasa wanakimbia mafuriko".

I love Leonel Messi, ila nilisupport kuondoka kwake. We're now playing like a team. Tumepata nafasi ya kujenga team upya, na sasa matunda yameanza kuonekana. We're back to being a threat to each and everyone of our opponents.

Yule mtoto Araujo, hakuna anaeweza kumpita one on one, he's such a beast. Huwa nawaza yule De light ndio angekua pale anapair na Araujo, sijui hali ingekua vipi. Pale kati kati unamkuta mtoto Pedri. Kwa sasa ukitaja wachezaji bora duniani watano alafu ukamuacha Pedri, nitakushangaa. That kid is brilliant!

Dembele akiamua kuondoka Barca basi atakua mwehu. System imemkubali, na kiwango chake kimemkubali pia. Anaupiga mwingi sana. Amerudisha makali kwenye wings zetu, angalau sasa tunaweza kusema pengo la Neymar limeanza kuzibika.

Otherwise, tunatest mitambo tu sasa hivi. Acha tuchukue Europa then tukutane msimu ujao. Watajua hawajui!

Mes que un club!
Visca el barca
 
Hawa Frankfurt United leo inatakiwa wafungwe tena in style.
Gazzeti la Le Equippe limesema-Barca toka irudishe Tikitaka imeupiga mwingi-limeshauri watafute wachezaji sio kwa ustar bali kwa uwezo wa kumudu tikitaka. Limedai uwezo wa Xavi unaweza kumfanya mchezaji yoyote mwenye dna ya tikitaka kuwa mzuri Barca
Hawa wanakufa nyingi leo hawatoamini
 
Yaani kwamba hivi "siku zote kisu kikali ndiyo hukata nyama". ukisikia kuzaliwa upya (rejuvenation) ndiyo huku sasa. kocha mwny mbinu na ufundi tumepata, tutegemee kuwa na timu Bora zaidi ya Sasa hasa kuanzia msimu ujao ... Mpira wa pasi za rula na magoli umerudi nyumbani... Visca El Barca [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
 
Hawa Frankfurt United leo inatakiwa wafungwe tena in style.
Gazzeti la Le Equippe limesema-Barca toka irudishe Tikitaka imeupiga mwingi-limeshauri watafute wachezaji sio kwa ustar bali kwa uwezo wa kumudu tikitaka. Limedai uwezo wa Xavi unaweza kumfanya mchezaji yoyote mwenye dna ya tikitaka kuwa mzuri Barca
Nakubaliana na wewe 100%. Xavi (Xavier) anauwezo huo, kifupi ni Genius wa Mpira.
 
Barca yangu ilikuwa inaniumiza sana ila kwa sasa natembea naringa najua chama limerudi upya
 
Koeman to L.De Jong
Screenshot_20220411-083256.jpg
 
Kwa games ambazo Luuk de Jong ametuokoa msimu huu, sidhani kama tunampa heshima anayostahili. Hata ile shangilia yake, naona kabisa kuna ujumbe alikua anaufikisha.

Sidhani kama kuna ubaya yule mwamba akipewa angalau dakika 15 kila game. huwa nikiangalia zile cross za Dembele zinavyomiminika, kama huyu mwamba akiwemo basi tunaongea mengine.

Naona Xavi bado hamuamini kabisa, ila tukikamatika anajua jamaa anaweza okoa jahazi.

Kikubwa alichonifurahisha Xavi mpaka sasa kwa upande wangu sio mpira unaopigwa, ni ile mentality waliyonayo madogo sasa hivi. Yaani amewaaminisha kabisa kwamba ushindi ni lazima, na kupambana ni mpaka dakika ya mwisho. Hii ndio Barca tuliyoingojea kwa muda mrefu!
 
This is the team we know!!!
 
Back
Top Bottom