Umesababisha nifukue ID yangu ambayo nilikua nimeanza kuisahau. I'm always here, cause I can't be anywhere else!
Ujumbe wangu ni mfupi tu, "waliosema hainyeshi, sasa wanakimbia mafuriko".
I love Leonel Messi, ila nilisupport kuondoka kwake. We're now playing like a team. Tumepata nafasi ya kujenga team upya, na sasa matunda yameanza kuonekana. We're back to being a threat to each and everyone of our opponents.
Yule mtoto Araujo, hakuna anaeweza kumpita one on one, he's such a beast. Huwa nawaza yule De light ndio angekua pale anapair na Araujo, sijui hali ingekua vipi. Pale kati kati unamkuta mtoto Pedri. Kwa sasa ukitaja wachezaji bora duniani watano alafu ukamuacha Pedri, nitakushangaa. That kid is brilliant!
Dembele akiamua kuondoka Barca basi atakua mwehu. System imemkubali, na kiwango chake kimemkubali pia. Anaupiga mwingi sana. Amerudisha makali kwenye wings zetu, angalau sasa tunaweza kusema pengo la Neymar limeanza kuzibika.
Otherwise, tunatest mitambo tu sasa hivi. Acha tuchukue Europa then tukutane msimu ujao. Watajua hawajui!
Mes que un club!