FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi anacheza kwa hisia za final ya Word Cup...

Akikumbuka Manuel alivyokuwa akichomoa mashuti yake leo naona kaachia fataki ambalo Manuel hajaliona...

Plus goli la pili ni shidaaaa...kakalishwa mtu chini halafu funga goli ambalo CR7 hajawahi kufunga maishani mwake...
 
The mistake started from Bayern RB position.... Messi is a Mo-fo
 
Huyu Mess anawafanya mabeki waonekane hawana kazi.
 
Duh.. ama kweli Messi ni mkali. Lakini naona bado hajamfikia Xdona
 
Back
Top Bottom