Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Barcenyeto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitabu vimegoma "kubalansi" kwa sababu ya kukurupuka kwenu! Sema Sasa tuchukue yupi kati ya jong au AubaChelsea tunachowafanyia kwenye dirisha hili la usajili hawawezi kutusahau mpaka kifo.
Endelea kujiongopea. Umekaa hapo Tandahimba alafu unadhani unavijua vitabu vya Barca kumzidi Laporta.Vitabu vimegoma "kubalansi" kwa sababu ya kukurupuka kwenu! Sema Sasa tuchukue yupi kati ya jong au Auba
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kujiongopea. Umekaa hapo Tandahimba alafu unadhani unavijua vitabu vya Barca kumzidi Laporta.
Tutauza wachezaji sababu tunacho kikosi kipana sana. Na sio kwa hizo sababu nyingine. Namba tisa peke yake wapo Lewandoski, Auba, Luuk de Jonng, Braithwaite na Depay. Kwanini tusiuze?
Mwaka huu watajuta kutufahanu.Hizi fisi za ujerumani zimetuzoea sana, this time linakufa jitu!
Kounde tayari amekua registered Laliga. Anaweza kuwepo mechi ijayo weekend hii.Wakuu hivi sakata la Kounde kusajiliwa kwenye kikosi limekaaje?
Na vipi updates za Auba, anabaki au njia nyeupe kuondoka?
Chelsea waweke pesa kubadilishana wachezaji sio good sana.Kounde tayari amekua registered Laliga. Anaweza kuwepo mechi ijayo weekend hii.
Auba naona Chelsea bado wanarukaruka, hawajanyoosha maelezo. Sisi tunataka pesa, wao wanataka waweke pesa nusu pamoja Marcos Alonso as part of the deal.
Wakiweka pesa, Auba anaondoka.
Sio mbaya, ila natamani sana tuwe na defenders visiki. Badala ya kuangalia roles zao kwenye kushambulia, tuwe na na watu wapambanaji wa kuzuia mashambulizi kuja kwetu.Chelsea waweke pesa kubadilishana wachezaji sio good sana.
Vipi unakionaje kiwango cha Balde. Anafaa kuwa replacement ya Alba?
Be blessed culerSio mbaya, ila natamani sana tuwe na defenders visiki. Badala ya kuangalia roles zao kwenye kushambulia, tuwe na na watu wapambanaji wa kuzuia mashambulizi kuja kwetu.
Defense ndio inafanya siku tukipoteana tunapigwa nyingi kwelikweli kama zile za Bayern.
Dogo bado umri unaruhusu kujifunza. Ila natamani tupate visiki kwenye defense.
Uko na Dembele na Raphina kwenye wings,bado unataka defenders wapande juu wasaidie mashambulizi? Tunakua exposed!
Sure mkuu nilimsikia xavi akihojiwa kuhusu usajili wa fullbacks akasema anahitaji natural fullbacks hasa fullback ya kulia kwa sababu dest hayupo kwenye plans zake.Of course kwa uwepo wa dembele na raphinha tunahitaji defensive minded fullback who is good in crossing.Tunatakiwa ku sort out hii issue.Sio mbaya, ila natamani sana tuwe na defenders visiki. Badala ya kuangalia roles zao kwenye kushambulia, tuwe na na watu wapambanaji wa kuzuia mashambulizi kuja kwetu.
Defense ndio inafanya siku tukipoteana tunapigwa nyingi kwelikweli kama zile za Bayern.
Dogo bado umri unaruhusu kujifunza. Ila natamani tupate visiki kwenye defense.
Uko na Dembele na Raphina kwenye wings,bado unataka defenders wapande juu wasaidie mashambulizi? Tunakua exposed!
Huyu Lewandoski ameamua kuja kumnyoosha Benzema hapo Laliga. Na atawanyoosha mpaka waandamane!Barcelona 4 Valladolid 0
3 important points
... focusing on the coming games
Forca Barca.
Jamaa anajua sana. Ametupunguzia hasira za msimu uliopita wakati Depay na Braithwaite wanaruka ruka tu.Huyu Lewandoski ameamua kuja kumnyoosha Benzema hapo Laliga. Na atawanyoosha mpaka waandamane!