Messi anacheza kwa hisia za final ya Word Cup...
Akikumbuka Manuel alivyokuwa akichomoa mashuti yake leo naona kaachia fataki ambalo Manuel hajaliona...
Plus goli la pili ni shidaaaa...kakalishwa mtu chini halafu funga goli ambalo CR7 hajawahi kufunga maishani mwake...