Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi na magaidi. Natanguliza shukrani.
Sergio busquets jana alicheza mechi ya mia saba
Ni mchezaji wa tatu kucheza mechi nyingi na barcelona baada ya Xavi na mchezaji bora wa duniani wa wakati wote Messi