FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

IMG_4512.jpg

Mara ya mwisho barcenyeto kushinda hili kombe
VINI Jr alikuwa hajazaliwa
 
Huu ukuta upo [emoji91]sana .Araujo the beast.Ni hatari sana kuwa na team inayomiliki mpira kwa kiasi kikubwa na ina defence nzuri.
20230213_013527.jpg
 
Nimeona baazi ya source zikisema barca wanataka kumrejesha Pep, iwapo man city watapewa adhabu, na kama atakuja basi ataambatana na Alvares pamoja na Rodri, je wakuu hii imekaeje kwa pep kurejea au team abaki nayo xav
 
Mm naona Pep zama zake zimeisha tukomae na Xavi ambae na yeye anapambana kutafta legacy
 
Back
Top Bottom