FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dembele naye pancha kaumia tena, though ame improve sana currently

Atakaa nje kwa mwezi mmoja
 
Pedri huyu dogo ananifanya nisikose mechi za barcelona currently anautendea haki mpira

Namtabiria
 
Goli moja kama mgonjwa wa kisukari barcenyeto bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Europa fc[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Depay ana bahati mbaya sana mashabiki wa atletico walimzomea juzi kwa kumuita kibonge

Dogo alichagua timu asiyoendana nayo
 
Madrid kapakatwa huko. Baadae tunacheza na Sevilla. It's a must win match. Tukishinda hii game, njia ya kuichukua Laliga inabaki nyeupe kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…