FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huu ukuta upo [emoji91]sana .Araujo the beast.Ni hatari sana kuwa na team inayomiliki mpira kwa kiasi kikubwa na ina defence nzuri.
 
Nimeona baazi ya source zikisema barca wanataka kumrejesha Pep, iwapo man city watapewa adhabu, na kama atakuja basi ataambatana na Alvares pamoja na Rodri, je wakuu hii imekaeje kwa pep kurejea au team abaki nayo xav
 
Mm naona Pep zama zake zimeisha tukomae na Xavi ambae na yeye anapambana kutafta legacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…