FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ikiwa Bayern Munich itamaliza nafasi ya 2 kwenye Bundesliga na Fc Barcelona ikashinda La Liga basi kuna uwezekano mkubwa kwamba Bayern na Barcelona wanaweza Kupangwa kundi moja la UCL msimu ujao... 😂🔥
 
Ikiwa Bayern Munich itamaliza nafasi ya 2 kwenye Bundesliga na Fc Barcelona ikashinda La Liga basi kuna uwezekano mkubwa kwamba Bayern na Barcelona wanaweza Kupangwa kundi moja la UCL msimu ujao... [emoji23][emoji91]
Brazaaaaaa waonee huruma, hakuna kitu Barcelona fans wanaogopa kama dude la kuitwaa
Bayern,,, [emoji16][emoji16][emoji16] au uongoo ndugu zangu Catalunyans folks
 
LALIGA na copa del Rey ni mwanzo mzuri kwa Xavi kama atashinda msimu huu. Ki ukweli, bado hatukua tayari kucompete UEFA. Next season will be fun!

Visca el Barca!
 
Leo tukishinda hii game dhidi ya watani tutawazidi point 12.

Hapo ubingwa utakuwa mkononi labda yatokee ya kutokea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…