- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Dani Olmo ameonyesha nia ya kutaka kucheza Barcelona. Hapo kazi inabaki kwetu kufikia mahitaji ya kifedha.
Nicco Williams, uongozi wa Barca umeonyesha direct interest na mazungumzo yameanza upande wa club na mchezaji mwenyewe. Nadhani kinachosubiriwa ni Nicco mwenyewe atoe greenlight. Nadhani wiki hii mambo yataenda vizuri.

Vipi uwezekano wa kuwapata hao madogo ni mkubwa