Vipi uwezekano wa kuwapata hao madogo ni mkubwa
Duuh sawaDani Olmo ameonyesha nia ya kutaka kucheza Barcelona. Hapo kazi inabaki kwetu kufikia mahitaji ya kifedha.
Nicco Williams, uongozi wa Barca umeonyesha direct interest na mazungumzo yameanza upande wa club na mchezaji mwenyewe. Nadhani kinachosubiriwa ni Nicco mwenyewe atoe greenlight. Nadhani wiki hii mambo yataenda vizuri.
Daah huyu dogo kama tumempata itakua poa sana.Wadau naona deal la Nico Williams is done
Dogo unawashwa eeh?Barcenyeto
Wewe chini ya UTI wako wa mgongo hakupo sawaBarcenyeto
🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃Dogo unawashwa eeh?
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe chini ya UTI wako wa mgongo hakupo sawa
Visca el Barca.Forca Barca