FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mtoto anatisha sana huyu.

Umri mdogo akili nyingi.

IMG_20241027_074856.jpg
 
Yani katika historia yangu ya soka hakuna game roho inaniuma mpaka leo kama ile ya 4-0 Anifield.

Ila naamini kisasi kitalipwa tu.
Mkuu hii gemu ndio ilinifanya niichukie liverpool hadi leo, nakumbuka nilikuwa chuo Informatics Udom tena kipindi cha UE aisee hii gemu ilinikata mood kabisa hata ya kusoma, tokea siku hiyo sijawahi ikubali liverpool
 
The same to me.

I mostly hate club because of that match.
 
Mkuu hii gemu ndio ilinifanya niichukie liverpool hadi leo, nakumbuka nilikuwa chuo Informatics Udom tena kipindi cha UE aisee hii gemu ilinikata mood kabisa hata ya kusoma, tokea siku hiyo sijawahi ikubali liverpool
Pole sana! Tukikutana tena itakuwa super match. Maana hakuna matumizi ya nguvu tena kama dhidi ya Real Madrid.
 
Back
Top Bottom