Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu mpwa... Ila mh!aaaargh!!
Naona maandalizi yote yashakamilika sasa, wamejiandaa vema kabisa. I can bet Man 1 Barca 2....!
Hehehehe, si leo... Hawashindi best...Beki ya Barca ina-leak magoli mkuu, lazima wabamizwe. Ningefurahi sana kama Man U wangepigwa lakini bahati mbaya sana watashinda!
Na mimi nipo hapa... Ule uzi wa Man U ni nuksi lazima wanapigwa mabao leo, tena mengi...
Haya, la kwanza hilo! Eto...
Hehehe,Duh, ishakuwa noma...ata kutype inakuwa kazi sasa
Kwa jezi hizi nyeupe sitarajii Man U washinde!