Madrid Wamepata penalty, daah Valencia wakiweza kung'ang'ania na kupata huu ushindi leo itakuwa ahueni kubwa sana kwa Barca
leo rahaaaaaa tupu
Kweli mkuu ili tuwe katika nafasi nzuri inabidi madrid afungwe au atoe droo. Ila kwa game ilivyo naona wanaweza kushinda
Acheni imani potofu nyie, Valencia hapigwi hii Game.
Mwaka huu ligi, kombe la mfalme, na UEFA wataisoma
na wakifanya hivyo ndipo watakapo kula nyingiHII mechi Bayern atataka ku park kwenye goal la Barca,ata commit watu mbele-punde akifanya hivyo huku nyuma kutakuwa na gaps kibao-sipati picha hapo Neymar,Messi na Suarez watamfanya kitu gani? ukitaka kuona end to end stuff basi hii mechi sio ya kukosa kuangalia