na wakifanya hivyo ndipo watakapo kula nyingi
Leo kutachimbika pale Allianz Arena ni nouma
Hii mechi ni ngumu sio rahisi kama wengi wetu tunavyoamini,ispokuwa kwa vyovyote Barca atacheza fainal-tatizo linaloonekana inaweza kuwa ndio mechi ya mwisho Pep kuifundisha Bayern-huu uvumi umezagaa sana kiasi huwezi kuu dismiss
Eeeh hao Bayern na Pep wao wapigwe tu, maana hamna namna sasa na mimi nasema wapigwe tu
Pale ghetto kwetu mama... njoo kichwa kichwa urudi na maumivu ya tumbo.Naamini kazi iliyoanza Camp Nou inaenda kutimia Berlin.
#ForzaBarca
Hii mechi ni ngumu sio rahisi kama wengi wetu tunavyoamini,ispokuwa kwa vyovyote Barca atacheza fainal-tatizo linaloonekana inaweza kuwa ndio mechi ya mwisho Pep kuifundisha Bayern-huu uvumi umezagaa sana kiasi huwezi kuu dismiss
Hii mechi ni ngumu sio rahisi kama wengi wetu tunavyoamini,ispokuwa kwa vyovyote Barca atacheza fainal-tatizo linaloonekana inaweza kuwa ndio mechi ya mwisho Pep kuifundisha Bayern-huu uvumi umezagaa sana kiasi huwezi kuu dismiss
Bayern sio rahisi kufungwa kihivo... labda Pep atuletee makida.
Pale ghetto kwetu mama... njoo kichwa kichwa urudi na maumivu ya tumbo.
Nataman hata atimuliwe leo kabla ya hii mechi naamini tutashinda bao nyingi zaidi... Pep Ole wake atuletee u-katalunya wake, sisi ni Watoto wa Hitler bhana.
Eeeh hao Bayern na Pep wao wapigwe tu, maana hamna namna sasa na mimi nasema wapigwe tu
Naamini kazi iliyoanza Camp Nou inaenda kutimia Berlin.
#ForzaBarca
Mchezo utakua mgumu sn Leo ingawa naona nafasi ya Munich ni ndogo sana ktk kwenda fainali kwasababu Munich waliruhusu magoli mengi sn pale camp nou! Munich anaweza kushinda leo lkn sio goli nyingi sn na km itapindua matokeo na Munich kuingia fainali basi huu utakua muujiza Wa mwaka.
Kushinda hawawezi tena nataka Barcelona wawaongezee magoli mengi.
Hii mechi ni ngumu sio rahisi kama wengi wetu tunavyoamini,ispokuwa kwa vyovyote Barca atacheza fainal-tatizo linaloonekana inaweza kuwa ndio mechi ya mwisho Pep kuifundisha Bayern-huu uvumi umezagaa sana kiasi huwezi kuu dismiss
Kushinda hawawezi tena nataka Barcelona wawaongezee magoli mengi.
Sawa mkuu hivi ni saa ngapi za kibongo mechi inachezwa Ntuzu.
Saa 21:45 kwa saa za hapa Tanzania.