FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dakika ya 1 Man U wanakosa goli...

I see, mmeanza moto wakuu. Kona ya kwanza
 
Naona maandalizi yote yashakamilika sasa, wamejiandaa vema kabisa. I can bet Man 1 Barca 2....!

Beki ya Barca ina-leak magoli mkuu, lazima wabamizwe. Ningefurahi sana kama Man U wangepigwa lakini bahati mbaya sana watashinda!
 
Na mimi nipo hapa... Ule uzi wa Man U ni nuksi lazima wanapigwa mabao leo, tena mengi...
 
Duh, ishakuwa noma...ata kutype inakuwa kazi sasa
 
huyo eto ana uchawi, umeona ulimi wake ulivyo mweusi!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…