FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca asa hv imeenea kila idara isipokuwa sehemu moja tu nayo ni upande wa kocha yani huyu kocha kiupande wangu simkubali hata kidogo na lait kama isingekuwa juhud za Messi mechi ya kwanza sijui ningeificha wap sura yangu. VISCA EL BARCA
 
Sielewi ...Kuna haja gani ya kuwatoa Muller & Schweinsteiger?

Hapo ndo mtakapojua huyu boya amekosa ROHO YA KIJERUMANI na sio kocha mzuri hata kidogo...

Guardiola Ondoka bayern.. HATUKUTAKI
 
Always barca hua haina beki nzuri,inajilinda kwa mfumo wa kuposses sana mpira,hiv vermalen stl yuko injury au anasugua bench?

Yupo fit ila sio kiviiile, tunamuacha ili awe fresh kabisa sababu nafasi yake wapo wanaoweza kucheza.
 
furaha imenipungua ever kwa kufungwa hii gem tumeruhusu magoli ya kizembe

Lengo halikuwa kushinda bali ilikuwa kupita
Lingekuwa lengo kushinda leo Bayern wangepigwa mvua coz ilikuwa ni rahisi zaid kuliko First leg
Messi leo kacheza kipind cha kwanza baada ya kupata uhakika wa kupita akarelax
Game ijayo ambayo inadetermine ushindi wa la liga ilimfanya coach amtoe Suarez
 
Lile goli alilowafunga Muller sio la kizembe.. ule ndo UJERUMANI..

Hongereni na Poleni pia.

Hapo ndo mtakapojua huyu boya amekosa ROHO YA KIJERUMANI na sio kocha mzuri hata kidogo...

Guardiola Ondoka bayern.. HATUKUTAKI

Wewe nawe embu tupishe kwanza..... Pole mjerumani wewe ulifikiri hii ni Porto ya kupiga saba?

Niambie kesho tupo pamoja na Juve au kama kawaida yako unapenda ligi na mimi. ......lol
 
Sawa lakini ilikuwa mapema sana angemuacha kwanza ausome mchezo unakwendaje.... Shem hiki kipindi cha pili hali ilikuwa mbaya sana hapa nimechoka utafikiri nilikuwa shughulini...... Lol

Hahahaha shem bhana.... kumbe shughuli huwa inakuchosha? Nkidhani huwa unatoa ushirikiano mpaka kieleweke...

Kipindi cha pili nilijikuta nasali rozari mafungu ya uchungu bila shuruti.... khaa!!
 
Wewe nawe embu tupishe kwanza..... Pole mjerumani wewe ulifikiri hii ni Porto ya kupiga saba?

Niambie kesho tupo pamoja na Juve au kama kawaida yako unapenda ligi na mimi. ......lol

Haya nakuacha unenepe mpnz..

kama kawa kama dawa, mimi Leo ni RMA kwa muda.

ila jana hujapata maumivu ya tumbo, ile ndo Bayern ya Ujerumani na Pale ndio ghetto kwao... lakn daaah
 
Haya nakuacha unenepe mpnz..

kama kawa kama dawa, mimi Leo ni RMA kwa muda.

ila jana hujapata maumivu ya tumbo, ile ndo Bayern ya Ujerumani na Pale ndio ghetto kwao... lakn daaah

Haya bana kwahiyo niandae leso za kukufuta machozi siyo? Mabuluda leo yanaenda finally BTW maumivu tuliyapata wote wewe naona uliamua kukimbia na jukwaa kabisa.
 
Maana pique anakimbia km amefungiwa jiwe kiunon

Hahahahah.. baba shakira nae beki sasa!!? bora hata Kiumbe wa ajabu anaweza piga mzigo wa kueleweka pale nyuma.

spain mabeki wapo timu nyingine... toa Los blancos na barca.
 
Haya bana kwahiyo niandae leso za kukufuta machozi siyo? Mabuluda leo yanaenda finally BTW maumivu tuliyapata wote wewe naona uliamua kukimbia na jukwaa kabisa.

haina haja ya Leso mamitoh... uwepo wako tu unatosha.. andaa chapati za uthiku na maziwa tu.

sikukimbia jukwaa mpnz.. jana nimecheki mechi na 'wakubwa' na ukiona wakati wa gemu sipatikan sana humu ujue sipo home...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…