FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Center ya Barca imepoa,Mascheranoo vipi tena,upepo huu usije ukageuka jumla jumla
 
Buyern ili wasonge wanahitaji magoli matatu ndani ya dk kumi ,
 
Barça wanapga zoez kwa mechi ijayo ya Atlitico so wamerelax wanajua kibarua wamemaliza
 
Sielewi ...Kuna haja gani ya kuwatoa Muller & Schweinsteiger?
 
Back
Top Bottom