FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

leo suarez yupo bench kutokana na maumivu ya misuli ila haina shida
 
dakika ni ya 8 ilipigwa kona hapa almanusura liingie kwetu ila c.bravo kafanya kazi yake
 
naomba matokeo yetu na ya madrid yabaki hivi ili tutangaze ubingwa lakin ngumu kuwa hivyo
 
Huyu Neymar huwa ni bweg.e...sasa ndio unapiga wapi huko juu
 
Espanyol wamesawazisha...hureeee

Espanyol 1 - 1 Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…