FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kilicho nifurahisha zaid ni kua messi ndio aliotupa ubingwa na kama hatuja shinda leo mchawi angalikua neymar
 
Bravo should lift the trophy, 24 clean sheets out of 37 La Liga matches. Surprise of the season of who was signed to be the backup GK.
 
Nipo around...

Nilikuwa disappointed na LvG mapema lakini sasa roho kwatu kabisa...

Yaani acha tu msimu huu mchepuko umefanya kazi yake murua...... Nilikasirika sana bado dakika chache tucheke kitu kikasawazishwa tena cha kujitakia...... Ila sasahivi nami roho kwatuuuuuuuu!!!!!
 
TEAM.jpg
 
Wacha wafarijike na wao kwa Ronaldo kuchukua kiatu.......sasa hapa kaka Messi ajitahidi kukazana akibebe cha UEFA

Cha uefa messi ana magoli 54 ronaldo 58 sio rahisi kivile labda mechi inanayokuja ronaldo asifunge na messi afunge uefa na la liga. Hawahesabu uefa champ tu wanajumlisha ligi zote
 
Ukimkataa ukimkubali ukimsema vibaya kuscore lazima
THE KING.jpg
 
Attachments

  • king.PNG
    king.PNG
    232.5 KB · Views: 145
Cha uefa messi ana magoli 54 ronaldo 58 sio rahisi kivile labda mechi inanayokuja ronaldo asifunge na messi afunge uefa na la liga. Hawahesabu uefa champ tu wanajumlisha ligi zote

Hapa anazungumziwa atakae kuwa na goli nyingi UEFA na mfungaji bore wa Europe
 
Bravo should lift the trophy, 24 clean sheets out of 37 La Liga matches. Surprise of the season of who was signed to be the backup GK.
 
Lio Messi alipofanya afanyayo siku zote...
 
Attachments

  • 1431891480903.jpg
    1431891480903.jpg
    56.2 KB · Views: 191
Cha uefa messi ana magoli 54 ronaldo 58 sio rahisi kivile labda mechi inanayokuja ronaldo asifunge na messi afunge uefa na la liga. Hawahesabu uefa champ tu wanajumlisha ligi zote

Kwa La liga hakuna ubishi mfungaji bora atapata CR7 ila kwa UEFA nafasi Ipo bado kwa Messi ,Neymar pia si haba akiwa na kismati chake akapachika magoli yake mawili tena na Messi asifunge basi atapata mfungaji bora.
 
Hongera Barca, pongezi pia kwa marafiki zangu Aleyn na everlenk na washabiki wote wa Barcelona
Tukutane Berlin
 
Last edited by a moderator:
Miaka ya nyumba kulikua na sinema fulani hivi inaitwa "1 down 2 to go". Barca the might 2 to go!!
 
Back
Top Bottom